Tanzania Bara Yanyakua Ubingwa wa CECAFA U20


Tanzania Bara imetwaa taji la CECAFA chini ya miaka 20 kwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Kenya.

Bao hilo pekee limepatikana mnamo dakika ya 45 ya kipindi cha kwanza kwa Otieno Onyango kujifunga.

Ushindi huo unaipa rasmi Tanzania kikombe hicho ambacho mashindano yake yalikuwa yanafanyika nchini Uganda.

Baada ya ushindi huo, Ngorongoro watarajia kurejea nchini kuanzia kesho.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad