TID amzuia DJ ndani ya Club kupiga nyimbo za Nigeria ‘


Msanii wa muziki wa bongo Fleva, TID jana usiku amemzuia DJ K3 kupiga nyimbo za Nigeria na badala yake kumtaka apige ngoma za Tanzania tu kwani angekuwa Nigeria na angepiga nyimbo za Tanzania ndani ya Club zao wangemuua.



TID amesema hayo usiku wa jana kwenye Party yake maalum aliyoifanya ndani ya Club Elements ya kusikiliza wimbo wake mpya wa ‘ANY MORE’ aliomshirikisha Lady Jaydee.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad