Aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu, amesema amesimamisha kwa sasa mpango wake wa kurejea nchini Tanzania mpaka hapo usalama wake utakapohakikishwa na Viongozi wake wa CHADEMA.
Tundu Lissu ametoa kauli hiyo jana Jumatano Oktoba 9 katika mahojiano na kituo cha televisheni cha Sauti ya Marekani (VOA) baada ya kuulizwa swali na mtangazaji Mwamoyo Hamza kuhusu mpango wake wa kurejea nchini baada ya kumaliza matibabu.
“Nimeshakamilisha tiba kwa hiyo sababu ya kiafya ya kuendelea kukaa Ubelgiji haipo tena, iliyobaki sasa ni viongozi wenzangu (wa Chadema) waliopo Tanzania waniambie mazingira yapo sawasawa ya kiusalama ya mimi kurudi.
“Kumbuka wale walionipiga risasi 16 mchana wa saa saba bado wanaitwa watu wasiojulikana.
“Nimebadili kauli kwa sababu za wazi nilizozisema. Mazingira ya kiusalama si
Hilo la Ukimbizi tunalijua
ReplyDeletekuna lingine tena?
La Usalama Barabarani tunaanza kulisikia. Tua Imani na Trafiki wetu.
Isitoshe Hakikisha Tairi zako kuwa siyo Kipara na ni Salama ili Usalimike
ah...ise....we wacha tuuuu...!!!
ReplyDeleteMbona M/ kiti amekubali kungatuka..
Unangojaniii kuchukua Fomu...???
Au huimudu Nafasi na kukosa Vigezo !!!
KIKI ZA TWITA MWACHIE MZEE WA FLASHI.
Ukichelewa Mdee na Msigwa watachuana na yule wa wapi vile?...!!! Ndiyo huyo
huyo. Ajili ya mgao wa Ruzuku utakuwa
kama Woteee. Boiface haoni ndani.
Kubenea anaachia ngazimuda si mlefu.
Si unajua kuwa ppt zitasitishwa katika
siku za usoni..??
Vipi maendeleo yako ya Afya. POLESANNA