Tundu Lissu: Wametishia Kuniua, Sitarudi Tanzania Hadi Hili Lifanyike

Aliyekua Mbunge wa singida Mashariki Tundu Lissu amesema, kwa sasa amesitisha mpango yake ya kurejea Tanzania mpaka hapo usalama wake utakapohakikishwa.

Akizungumza katika mahojiano na VOA Swahili jana Jumatano Oktoba 9, Lissu alisema kwa sasa ameshakamilisha tiba, hivo hana sababu ya kiafya ya kuendelea kukaa Ubelgiji haipo tena na kilichobaki ni suala la viongozi wenzake waliopo Tanzania wamuambie kama mazingira ya kiusalama ya yeye kurudi yapo sawa.

Alisema, waliompiga risasi 16 mchana wa saa 7 katikati ya nyumba za Serikali Dodoma, katikati ya kikao cha Bunge, bado wanaitwa watu wasiojulikana.

Alisema, Awali alisema angerejea nyumbani, Septemba 7 mchana kweupe, lakini amelazimika kubadili uamuzi huo kutokana na mazingira ya kiusalama kutokua mazuri.

“Kuna maneno yamekuwa yakijitokeza katika mitandao ya kijamii, kwamba ngoja aje, mara hii hatutakosea hatutakosea shabaha. Na kuna mtu anaitwa Musiba, ametangaza hadharani kwamba Lissu akija atapigwa risasi, katika mazingira hayo, watu wenye busara watasema hebu tuangalie hali ya usalama,” alisema Lissu

Lissu aliongeza kuwa, licha ya yote hayo, hawezi akakwamia ughaibuni, lazima atarudi nyumbani kwani Rais Magufuli hatakuwa madarakani milele.

Kuhusu afya yake kwa sasa, amesema, tanguu tarehe 29 mwezi juni mwaka huu ameacha kutumia magongo, ingawa anachehemea kidogo, anaweza kutembea mwenyewe.
Tags

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Msaliti wewe, Honi iu wala Haya kusema Uongo.

    Kwa nini Usiseme ukeli kwamba Faili lako la Mazingira uliojitengenezea na sasa unamsaidia mtarajiwa mzamiaji toka Uvira naye aweze kupata status inayo fanana na wewe japo sababu za kiafya za kichwani zimejitokeza including kumtuhumu mwana Harakati kipenzi chetu cyprian Musiba ambae namshauri akufungulieJalada Mahakamani msaliti wewe kwa kumtuhumu. Na urudishwe kujibu na kutusaidia Upelelezi.

    Hili la danganya toto kwako tumelizoea na tulitegemea, kaama ni chamani uenyekiti muulize boniface wamesha mtteua mgombea na watamtangaza hivi karibuni. Viza yako Ughaibuni ina kwisha lini manake sifa ya ugonjwa umesha ipoteza sa unaanzisha ya Usalama ili hali ukijua Nchi ytu ni Salama Salmini.. Huu Usanii HUUWEZI.

    Tunakufungulia Jalada la tuhuma zako.
    na kwa taarifa yako....

    ReplyDelete
  2. Msaliti wewe, Huoni aibu wala Haya kusema Uongo.

    Kwa nini Usiseme ukweli kwamba Faili lako la Mazingira ulio jitengenezea na sasa unamsaidia mtarajiwa mzamiaji toka Uvira naye aweze kupata status inayo fanana na wewe japo sababu za kiafya za kichwani zimejitokeza including kumtuhumu mwana Harakati kipenzi chetu cyprian Musiba ambae namshauri akufungulieJalada Mahakamani msaliti wewe kwa kumtuhumu. Na urudishwe kujibu na kutusaidia Upelelezi.

    Hili la danganya toto kwako tumelizoea na tulitegemea, kaama ni chamani uenyekiti muulize boniface wamesha mtteua mgombea na watamtangaza hivi karibuni. Viza yako Ughaibuni ina kwisha lini manake sifa ya ugonjwa umesha ipoteza sa unaanzisha ya Usalama ili hali ukijua Nchi ytu ni Salama Salmini.. Huu Usanii HUUWEZI.

    Tunakufungulia Jalada la tuhuma zako.
    na kwa taarifa yako....

    ReplyDelete
  3. Msaliti wewe, Huoni aibu wala Haya kusema Uongo.

    na kwa taarifa yako....Kutaja jina la Raia mwema katika mazingira Tatanishi itabidi Aluta na Manyama waaangalie hali na mazingira ya liyokupelekea Uropokaji huu waa Makusudi kabisa.

    ReplyDelete
  4. Eheeee..!! Hivyo unalishwa na kuvishwa
    nanani huko Ughaibuni..??

    Na bata pia unakula na tiketi pia unasafirishwa ktupaka Matope vile vile

    Maswali yanakuwa mengi na majibu yana hitajika .

    ReplyDelete
  5. Yamekushinda ya M/Kiti, sasa unataka kuhamishia kwa Mwana harakati Huru..??

    Usijifanye Hamnazo..!!

    ReplyDelete
  6. Hivyo Tanzania tuko millioni ngapi vile
    Wangapi haawana Usalama..?

    Hivyo Usalama ndio Trafiki? Ajali barabarani sizimepungua!! Wekeni matairi mazuri ukitembea na Kipara umejitafutia mwenyewe.

    ReplyDelete
  7. Hivyo Tanzania tuko millioni ngapi vile?

    Wangapi haawana Usalama..?

    Hivyo Usalama ndio Trafiki?
    Ajali barabarani si zimepungua!!

    Wekeni matairi mazuri ukitembea na Kipara umejitafutia mwenyewe.

    ReplyDelete
  8. Umesikia bliki na kasiamambo yaichacha!

    Kutumika kwako kwa sasa huna bao mwanawane.ludi tulime sunflawa inalipa.

    ReplyDelete
  9. Wachangiaji wote hapo juu ni mijitu ya CCM ndiyo maana mnachangia ujinga.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ahaaa. mie hata nisikujibu. mkosa hoja wewe ni manyuu au mansity? ni lazima uangalie darby.

      Delete
  10. Tanzania ni ya Watanzania Wazalendo.!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad