Hizi ni sifa halisi za mwanamke wa kweli
1. Ni nguvu ya mwanaume
2. Ni jasiri
3. Mchapakazi
4. Mwenye kujiamini
5. Tegemeo la familia
6. Mwalimu wa watoto na familia yake kiujumla
7. Mlinzi wa mwanaume.
8. Chanzo cha baraka ya familia.
9. Adui wa maadui wa familia.
10. Sauti ya familia.
11. Mponyaji wa familia yake na taifa.
12. Mlezi wa huduma.
13. Mkombozi wa familia na taifa.
14. Msaidizi wa Mungu tumfanyie msaidizi wa kufanana naye.
15. Mwombezi wa familia, huduma na taifa.
16. Mficha siri wa Mungu
Na kwa yote hayo 16 aliyonayo huyo mwanamke Je na wewe unayo mazuri mangapi?Pombe na mchepuko nini na kumpelekesha mbio kama mtumwa kaa na fantasy zako utangojea sana hii ni gime nyingine amka usingizini and face the reality hii ni face book instagram twitter generation bana wa dizaini yako hawapo tena katika dunia hii kalaga bao na hizo sifa zako 16 hahahahahaaaaa!Unatoka katika sayari nyingine nini?
ReplyDeleteHuyo malaika sasa
ReplyDeleteHapa Wadau Hapo Juu.......
ReplyDeleteHao wenye Tabia Kama Hizo Wapo na Ni wengi ila.. Ni Vigumu labda kukutana nao
mara kwa Mara .
Amminini anacho kizungumzia Muandishi Hapo ni kwamba ukimpata Mzazi mwenza wa Aina hii Basi Jua
UMEONGOA TAIFA ....MANAKE NDIYO KIZAZI CHA KESHO.
NDIA UKAONA MAMA TULIA NA NDALICHAKO NA KAIRUKI NA WENGINE WENGI
NANAGUSIA KUONGOKA KWA MTOTO WA KIKE NA KUFATA MAADILI NA NDIYO MAANA SHERIA SASA ZINAKAZA HASA KWA SISI WANAUME KUWEZA KUMLINDA MDADA.