Ukweli juu ya sheria ya Ndoa, Njia za kuoa, umri chini ya miaka 18


Tazama jinsi mawakili kutoka Gouden Ink Attorney  walivyochambua sheria ya ndoa, aina za ndoa, umri sahihi wa kufunga ndoa, na haki za ndoa..

Moja ya aina ya ndoa ambayo wanasheria hao wameainisha ni ndoa ya mwanamke mmoja kuolewa na wanaume wengi, japokuwa aina hiyo ya ndoa haipo kwenye sheria zaTanzania bali hutumika kwenye baadhi ya nchi zinazoitambua na kuruhusu sheria hiyo.

Aidha, wanasheria hao wamenyambua kuwa sheria hiyo inaweza kutumika ikitokea kuna uhitaji maalumu au ikaonekana kuna ulazima wa aina hiyo ya ndoa kutumika.

Japokuwa tunafahamu kuwa duniani kote idadi ya wanawake ni kubwa kulinganisha na idadi ya wanaume, Je hiyo inaweza kuwa sababu ya Sheria kuruhusu aina hiyo ya ndoa.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad