Utafiti: Wanaume Wengi Hawatumii Kondomu Kwa Wanawake Hawa


Huu utafiti hauna ubishi

Wanaume wanapokutana sita kwa sita na wanawake wenye matako makubwa,huwa hawatumii kondom

Wanawake wengi wenye matako makubwa wanasema kuwa,katika historia yao ya mahusiano ,wanaume wanaokutana nao hawatumii kondom wakati wa kufanya mapenzi

Mmoja aliniambia unaweza ukamkuta mwanaume ana pakiti ya kondom mfukoni,kwa ajili ya kufanya mapenzi lakini utakapomvulia nguo,ukawa uchi, wazo la kutumia kondom hutoweka,na kama utambana kutumia kondom,wakati mechi inaendelea,utasikia anakwambia",Baby nachelewa kukojoa,ngoja nivue ,ili nikojoe haraka"

Wanawake wenye maumbile mazuri na sura nzuri,wanaume wanaokutana nao,huwa hawatumii kondom.

Wanawake ambao wanaume wengi hukumbuka kutumia kondom hata kwa kila mechi ni wembamba na wasio na makalio makubwa,wasio na mapaja makubwa,wenye chuchu ndefu nyembamba zilizolala,na wasio na sura ya kuvutia

Mwanaume huchanganyikiwa zaidi na kusahau kondom kwa wanawake wenye rangi ya maji ya kunde,shombe shombe,mapaja makubwa,na matako makubwa na matiti yaliyosimama

Wanaume wengi hawatumii kondom kwa mabinti chini ya miaka 20

Mwanaume akikufuatilia kwa muda mrefu,ndani ya miezi 6,na kuendelea ,siku ukimkubalia hatatumia kondom
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad