Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Lema amelalamika kunyimwa kufanya mkutano wa hadhara na mkuu wa polisi Arusha Mjini ambao aliwakiwa kufanya Leo kwa ajili ya kuzungumza na Wananchi lakini sababu walioitoa jeshi la polisi Kumzuia Lema ni kutokana na uandikishaji wa daftari la serikali za mitaa
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI: