Video ya French Montana Aliyowashirikisha Ghetto Kidz Yavunja Rekodi za Kufikisha Views Bilioni 1


Ni Mkali mwenye asili ya Morocco anaeishi nchini Marekani, French Montana ambae hatojutia safari yake ya kuja East Africa kuandaa video ya wimbo wake uitwao Unforgettable aliyomshirikisha Swae Lee.

Video hiyo ilipata mrejesho mzuri kutoka sehemu zote za duniani,French Montana na muongozaji wa video hiyo  waliokuwa na jicho la kipekee kuona fursa ya video hiyo kuifanyia Uganda.

Sasa Headlines zimerudi tena baada ya video ya wimbo kuwa kwenye rekodi ya kutazamwa na watu Bilioni 1 Duniani kupitia mtandao wa Youtube.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad