Wamiliki wa Hoteli na Nyumba za Kulala Wageni katika Kiji la Kampala na Wilaya za jirani wanatakiwa kupeleka taarifa za Wateja wao Polisi ikiwa ni moja ya njia ya kupambana na uhalifu
Kamanda wa Polisi, Asan Kasingye amesema itakuwa lazima Wamiliki hao kila siku asubuhi kupeleka majina ya Wateja waliolala kwenye nyumba hizo katika Kituo cha Polisi cha karibu
Ameongeza kuwa, taarifa za Wateja zikatazo jumuisha wapi Wateja hao wanatoka na wapi kwenda wapi zitatumiwa na Polisi katika masuala ya Kiintelijensia na Usalama
Aidha, amebainisha kuwa katika kuendelea kupambana na uhalifu, Polisi watawasaidia Viongozi wa Mitaa kutengeneza makundi ya WhatsApp yatakayojumuisha Wananchi na Polisi