Watu 7 wapoteza maisha kufuatia kulipuka kwa tanki la mafuta


Watu saba wamefariki baada ya mlipuko wa tanki la mafuta katika jimbo la Enugu la Nigeria.

 Kulingana na ripoti ya vyombo vya habari vya kitaifa, tenki hiyo imelipuka wakati wa kutoa mafuta kwenye kituo cha mafuta cha barabara ya Enugu-Onitsha.

Sababu ya kulipuka kwa tenki hiyo haijajulikana.

 Kulingana na ripoti ya kwanza ya mlipuko huo, watu 7 wamepoteza maisha yao na watu wengi wamejeruhiwa.

 Mamlaka imesema kuna wasiwasi idadi ya waliokufa inaweza kuongezeka.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad