Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (katikati), akizungumza katika kikao cha kupokea taarifa ya Kamati ya Uchunguzi wa Watumishi waliokuwa wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kuuziwa magari ya Serikali, kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Wizara, jijini Dodoma, leo. Kamati hiyo iliteuliwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Jacob Kingu (kulia), Septemba 16, 2019 na ilipewa hadidu za rejea 13 kwa ajili ya kufanikisha kazi hiyo.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kulia), akipokea taarifa ya Uchunguzi wa Watumishi waliokuwa wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kuuziwa magari ya Serikali, kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Wamoja Ayubu, katika ukumbi wa mikutano wa Wizara, jijini Dodoma, leo. Kamati hiyo iliteuliwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Jacob Kingu (hayupo pichani), Septemba 16, 2019 na ilipewa hadidu za rejea 13 kwa ajili ya kufanikisha kazi hiyo
Mwenyekiti wa Kamati ya Uchunguzi wa Watumishi waliokuwa wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kuuziwa magari ya Serikali, Wamoja Ayubu, akimfafanulia jambo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, katika ukumbi wa mikutano wa Wizara hiyo, jijini Dodoma, leo