Waziri Mkuu alivyotua kijijini alipozaliwa


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wapiga kura wake wakati aliposhiriki katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru kwenye kijiji alichozaliwa cha Nandagala wilayani Ruangwa

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimnyanyua mtoto Safina Selemani (3) wakati aliposhiriki katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru kwenye kijiji alichozaliwa cha Nandagala wilayani  Ruangwa

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad