Waziri Mkuu wa Ethiopia Ashinda TUZO ya Amani ya NOBEL


Abiy Ahmed, ametunukiwa tuzo hiyo kwa mwaka 2019 kutokana na juhudi zake za kuleta Amani na kusuluhisha Mgogoro wa mpaka kati ya Ethiopia na Eritrea

Mwenyekiti wa Kamati inayotoa tuzo hiyo, Berit Reiss-Andersen, amemuelezea Abiy kuwa kiongozi aliyeleta mabadiliko licha ya kuchafuliwa Julai mwaka jana, lakini amesuluhisha mgogoro uliodumu kwa takriban miaka 20

Aidha, Serikali iliyoundwa na Abiy Ahmed inasifiwa kwa kuwa na Mawaziri na Viongozi wa kike wengi zaidi
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad