Waziri wa Mawasiliano aagiza aliyedanganya ujio wa ndege mpya ya Dreamliner kukamatwa


Waziri wa Mawasiliano, Isack Kamwelwe ameagiza kukamatwa kwa mtu anayeendesha mtandao wa ATCL Aviation TV kwa kutangaza kwamba ndege nyingine mpya aina ya Dreamliner inakuja nchini.



“Baba wa taifa alisema sio kiongozi anaongea na mke wake usiku halafu asubuhi anaenda kulitangazia taifa, Wizara ya habari inanihusu mimi, kuna vitu vya kutangaza sio ndege, Wizara yangu suala ya ndege ntatangaza mimi sio mwingine kuna ”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad