Wema Sepetu Apata Hofu Kuendelea Kupungua


TANZANIA sweetheart, Wema Isaac Sepetu amesema ameshauriwa kuongeza kilo tatu kwenye mwili wake kufuatia kuzidi kukondeana.  Akizungumza na Shusha Pumzi wakati akimkabidhi duka shosti wake, Aunt Ezekiel kama zawadi ya bethdei anayotarajia kuisherehekea kesho, Wema alisema;

“Niliamua kujipunguza mwili, lakini sasa imekuwa ni kinyume na malengo niliyojiwekea maana nimepungua zaidi, hivyo nimeshauriwa kuongeza kilo tatu ili nilinde afya yangu. “Hivi tunavyoongea nina mzani nyumbani ambao nimekuwa nikiutumia kuangalia uzito na kuendelea kuongeza mwili.”

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad