Wenzetu upande wa pili wanatamani kuona tunasusia uchaguzi – Freeman Mbowe


Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Freeman Mbowe amewataka Viongozi, Makada na wanachama wa chama hicho, kutosusia uchaguzi wa serikali za mtaa kwani kufanya hivyo ni kukamilisha malengo ya wapinzani wao.



Mbowe amesema hayo leo Jumanne Oktoba 16, 2019 kwenye mkutano wake na waandishi wa habari na kuwaomba Watanzania wote wenye sifa za kupiga kura wajiandikishe kwenye daftari la orodha ya wapiga kura wa uchaguzi wa serikali za mtaa unaotarajiwa kufanyika mwezi ujao.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad