Yafahamu Madhara ya Kiafya ya Kulala Kupita Kiasi

Harakati za maisha na shughuli za hapa na pale za binadamu huwafanya wengi kushindwa kupumzika na matokeo yake kutumia usingizi kama sehemu ya mapumziko.

Utafiti uliofanyika hivi karibuni nchini Korea unaonyesha kuwa, binadamu anaweza kupata madhara makubwa kiafya endapo atalala kupita kiasi.

Kwa Mujibu wa Daktari Evan Rosenbuth, ripoti ya utafiti huo inaainisha madhara hayo kuwa ni pamoja na kuleta hitilafu kwenye utandaji kazi wa ubongo, hivyo mhusika kuchukua muda mrefu katika kufikiri tofauti na mtu anayelaal kwa wastani.

“Utafiti  huo unakwenda mbali zaidi na kueleza kuwa, kulala kupita kiasi kunaweza kumsababisha mhusika kupata aina ya pili ya ugonjwa wa kisukari na vilevile kusababisha matatizo ya moyo,” aliseama Dk Rosenbluh.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad