Zari Aikimbia Nyumba ya Diamond South Africa Baada ya Kuambiwa Itauzwa Akiwa Ndani


Zarinah Hassan (Zari The Bosslady) ameondoka katika nyumba ya mwanamuziki Diamond Platnumz  nchini Afrika Kusini, baada ya kutishiwa kuwa nyumba hiyo ingeuzwa angali akiwa ndani na wanawe. Awali Diamond alieleza kuwa alimnunulia Zari nyumba hiyo kama zawadi ya kutimiza miaka 36. 
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad