Amber Rutty 'Usidharau Ndoto ya Mtu Kwasababu Hujui Anachokiamini"


👇🏻👇🏻 "Kila binadamu mwenye akili timamu anajua anachokifanya kina maanagani kwenye maisha yake, hata kama kuna wengine pembeni wanaona unachokifanya si sawa, but ifaamike kua wakati mimi unaniona nakosea wewe haujui mimi nakuchukuliaje wewe!

Kwasababu naamin kila binadamu anampangilio wa maisha yake na huwa na maana kwakila anachokifanya ndomaana huwezi kupanda mboga leo na ukavuna leo leo japokua unafahamu kua umepanda mboga na utavuna mboga hata kama ni baada ya miaka 3 kwaiyo heshimu maamuzi ya mtu mwenye akili timamu kwasababu anajua anachokifanya hatakama wewe unaona anakosea lakini point ni yeye tu kuamini katika anachokifanya "usidharau ndoto ya mtu kwasababu hujui anachokiamini" AMBER RUTTY

JE YUPO SASA ??

Toa maoni yako
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad