Baada ya Rais Magufuli kulipa soko Kuu la Dodoma 'Soko la Ndugai', Spika atoa neno


Baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kutaka Soko Kuu jipya la Dodoma kuitwa soko la Ndugai. Hatimae Spika, Job Ndugai ameibuka na kumshukuru.



Spika Ndugai ametoa shukurani hizo wakati akihitimisha Bunge la vijana 2019 lililofanyika kwa  Kipindi cha wiki moja katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma. ambapo amesema kuwa amefarijika pia.

“Namshukuru Mheshimiwa Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa kuliita soko Kuu jipya la Dodoma (Soko la Ndugai) nimefarijika sana ,“ Alisema Ndugai.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad