Babu Tale Aamua Kufunguka Tena "Mtihani Ulianza Pale Maredio Yalipoacha Kupiga Nyimbo Zetu"

Babu Tale aamua kufunguka tena

"Kupanga ni kuchagua, Diamond Platnumz alichagua timu yenye kuweza kumsimamia kubadili kile alichokiona hakipo sawa kwenye tasnia. Mawazo yake mwanzoni hayakua ya kawaida coz hata sisi aliotupa hilo jukumu tuliishia kuona mh haya sio miujiza, lakini tulikua tukifanya sababu tulikua tunaamini kwenye ya akili ya binadamu, hakutoki jambo bila muongozo wa aliye juu nikimaanisha Mungu. Basi tulipoanza tu kuyasimamia yale tuliyoombwa tuyafanye ndipo mitihani ilipoanza. Maredio kuacha kupiga nyimbo zake na vita zikawa kila kona. Basi hapo ndio kama timu tukasema ukiona vita ujue kuna dalili nzuri na kama nia yetu ni mabadiliko basi tukomae.
#TheBlackGodFather"

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad