Binti Mlemavu Anayeandikia Ulimi AKIRI 'Nina Mpenzi, Anataka Kunioa, Kuhusu Mimba Mh"


Simulizi ya binti Wakonta Kapunda, mwenyeji wa Sumbawanga nchini Tanzania inaeleza mengi. Kwa kumbukumbu, ilikuwa ni Februari 3, 2012 siku ambayo walikuwa na mahafali ya kumaliza kidato cha sita katika Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Korogwe jijini Tanga ndipo ajali mbaya iliwakuta wakiwa wanafunzi tisa baada ya mwenzao mmoja kuingia ndani ya gari la ndugu yake aliyekuja kumtembelea na ghafla gari hilo lilianza kurudi nyuma kwa kasi ndipo walipokutwa na majanga hayo.

VIDEO:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad