Bodi ya Ligi yatangaza Kocha na Mchezaji Bora wa Mwezi

Mchezaji wa timu ya Mtibwa Sugar ya Morogoro, Jafari Kibaya amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Oktoba wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu wa 2019/20.

Pia Kocha wa timu ya Mtibwa Sugar ya Morogoro, Zuberi Katwila amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa mwezi Oktoba wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu wa 2019/20.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad