CAG mpya “Prof. Assad huenda ungekuwa ushakufa, nitabadili watu kwa umakini


CAG mpya Charles Kichere akipokea Ofisi leo November 5, 2019 “Nitashirikiana na wenzangu tutajenga timuProfesa usiwe na wasiwasi tutajenga timu nzuri nitahakikisha kuanzia chini tunakua na timu yenye uwezo wa fanya kazi, kwa sababu watu mkisambaratika sambaratika hapo utakua umesambaratisha Taasisi na hutafurahi kuona Mwanafunzi wako anaisambaratisha Taasisi ambayo ulikuwepo kwa miaka mitano”

“Kama kutakua na mabadiliko yatafanyika kwa umakini mkubwa, naenda kufanya kazi kulinda mapato na nitalinda, sitakua na aibu kwa watu wanaotumia mapato ya Serikali vibaya nitawaripoti” CAG mpya Kichere

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwa hiyo, huyu anaejiita mchomi mmbabaishaji na mpotoshaji wa nchini twita Jitoo Zumbli Kambwe .atashika nafasi gani..?? Au humwajiri.!!

    Kichere chapa Kazi.

    Magu hana siile na Non Performer.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad