CAG Prof Assad Akikabidhi Ofisi Kwa CAG Mpya Kichere
0Udaku SpecialNovember 05, 2019
Top Post Ad
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) aliyemaliza muda wake, Prof Mussa Assad leo Novemba 5, 2019 amekabidhi ofisi kwa CAG mpya, Charles Kichere.