Diamond Atangaza Siku ya Kuachia Nyimbo Yake Aliyomshirikisha Wizkid



Staa wa muziki nchini Tanzania, Diamond Platnumz ametangaza kuwa ataachia kolabo ya wimbo wake mpya aliomshirikisha Wizkid kabla ya kumalizika kwa Mwaka 2019.

Staa huyo wa wimbo ‘Baba Lao’ kupitia Instagram akieleza kuwa ataaachia kolabo hiyo atakapokuwa mjini *Douala *Kamerun kwenye tamasha la muziki la Njeiforbi litakalofanyika 22 Novemba

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad