DR Congo: Watu 9 wa familia moja wafariki kwenye ajali ya ndege


Watu 9 wa familia moja ni miongoni mwa watu 27 waliofariki dunia baada ya ndege ya abiria kuanguka kwenye nyumba za watu mjini Goma, DR Congo muda mfupi baada ya kuruka.

Ndege hiyo (Dornier-228 twin-turboprop) ilikuwa na watu 19, ilikuwa ikiruka kutoka Goma kwenda Beni, umbali wa KM 350.

Taarifa za awali zinadai kuwa ndege hiyo ndogo ilipata hitilafu ya injini kabla ya kuanguka.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad