Idadi hiyo ni Kati ya vitongoji 294 ambavyo wanachama wa vyama mbalimbali walijitokeza kuchukua fomu kwa ajili ya kugombea nafasi hizo ambapo hawakuweza kuchukua na kurejesha fomu hizo.
Tayari Msimamizi huyo was uchaguzi amewatangaza rasmi wagombea hao kuwa ndio washindi katika vitongoji hivyo.
Wakati huo huo Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimewataka Wagombea wa chama hicho kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao wameenguliwa kwa madai kuwa wamekosea kujaza fomu zao kukata rufaa.
Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa Itifaki na Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mrema.
Mbali na hilo CHADEMA wameeleza kuwa wataitisha vikao vya dharura kujadili hali hiyo ambayo wamedai kuwa imejitokeza katika maeneo mengi nchini.
Daah..!!! Mbowe . imekula kwako.
ReplyDeleteMeseji sendi... and delivadi.
Ole Sabaya Hongerana mMama Magwhira.
Wataisoma namba.
Sijui godi less Lemwa vp na homa ya ndege. manake ATCL Iamdatisha na Uchaguzi unampa kuweweseka na plesha juu.
Aisikia Mrisho G. Baba lao. Anauliiza Tembe za Zenadoli ziko wapi.
Watatuelewa tuu Magumashi wa 2010/15.