Huu ndio muonekano wa uwanja wa ndege wa kisasa wa Mwanza


Ujenzi wa jengo hilo la kisasa umeanza Septemba mwaka huu na litagharimu takribani shilingi bilioni 12.

Gharama za ujenzi ni kodi za wananchi kupitia mapato ya Jiji la Mwanza, Manispaa ya Ilemelea na Serikali Kuu.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad