Instagram watangaza kuzifuta ‘LIKES’


Ni Headlines za mtandao wa instagram ambapo leo Novemba 9, 2019 mmiliki wa mtandao huo Bwana Adam Mosseri ameutaarifu umma kwamba kuanzia wiki ijayo kwa watumiaji wa mtandao wa instagram nchini Marekani hawataziona LIKES kama ilivyokuwa kawaida.



Hapo awali Adam aliwahi kuhojiwa na moja ya chombo kikubwa nchini Marekani na kusema mpango wake wa kuziondoa LIKES kwenye mtandao huo na leo amesema kuanzia wiki ijayo yaani Jumatatu kwa wazawa wanaoishi Marekani wataondolewa LIKES nchini humu taarifa hiyo ameitoa katika mkutano wa WIRED25 huko  San Francisco California nchini Marekani.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad