Israel, Palestina Zasitisha Mapigano Amani Yarejea

Mapambano ya silaha kati ya wanamgambo wa Israeli na Palestina huko mjini Gaza yamesitishwa baada ya siku mbili za mapigano makali ambayo yalidumu kwa miezi.

Taarifa kutoka Misri na Palestina zinasema kuwa makubaliano yalianza majira ya saa kumi na moja na nusu.

Israel inasema kuwa imeweza kukidhi malengo yao.

Waoaji kulipa kodi badala ya mahari
Kabla mapigano hayo hayajamalizika, familia ya watu nane waliuawa katika mapambano hayo ya Israel huko Gaza, raia wa Palestina alisema .

Wapalestina thelathini na mbili waliuawa katika vurugu hizo kwa mujibu wa vyombo vya habari, baada ya kiongozi wa jeshi kuuawa.

Huku Israel imesema kuwa zaidi ya wapalestina 20 waliouawa walikuwa ni wanajeshi.

Wapalestina na waisraeli wengi wamejeruhiwa ,kwa mujibu wa ripoti kutoka vituo vya huduma za afya.

Mapambano ya anga dhidi ya wanamgambo wa Israeli na Palestina yalirusha roketi zaidi ya 400.

Haki miliki ya pichaREUTERS
Vurugu zilizidi baada ya Israel kumuua kamanda wa juu wa Palestina Baha Abu al-Ata katika mapambano ya asubuhi siku ya jumanne.

Israel imesema imerusha roketi nyingi mjini Gaza na walikuwa wamepanga kumaliza mashambulizi hayo.

Mapigano makali ya siku mbili yalitokea jumatano usiku wakati ambapo silaha za anga zilipoangukia kwenye nyumba ya Deir al-Balah iliyopo katikati ya mji wa Gaza na kuua familia ya watu nane.

Wizara ya afya ya Gaza inasema kuwa waliokufa ni raia wa kawaida wanaojumuisha mwanamke na mtoto.

Wanamgambo wa Israeli wamesema kuwa mapambano hayo yalimuua kamanda Rasmi Abu Malhous, ambaye alikuwa kiongozi wa kitengo cha roketi.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad