Jack Wolper "Naona Watu Wengi Wanamsifia Raisi tu Wanaacha Kuongea Matatizo yetu


"Naona watu wengi wanamsifia Raisi tu wanaacha kuongea matatizo yetu, unajua sisi tuna matatizo mengi tuna Changamoto nyingi lakini naona kusifia sifia tu, sijajua kwa nini imekuwa hivyo, ukipata nafasi ongea nyumbulika ongea matatizo sio unasifia tu"-Jack Wolper.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wewe, mimi nalijua Tatizo lako.
    Na lakupendeza Zaidini, Ufumbuzi wake pia Unaeleweka na Tunao. Rajjy....!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad