Jamaa Aliyemuua Nipsey Hussle Kwa Risasi Azimwa na Mahakama....

Mahakama imetupilia mbali ombi la mtuhumiwa namba moja wa mauaji ya rapper Nipsey Hussle, Eric Holder ambaye aliitaka mahakama imfutie makosa mengine ya mauaji.

Kwani mbali na tuhuma za kumuua Nipsey Hussle, Holder pia anatuhumiwa kwa makosa ya kujaribu kufanya mauaji ambapo siku anamfyatulia risasi Nipsey, aliwajeruhi pia watu wawili na kuhatarisha maisha yao. Hivyo shauri lake litaanza kusikilizwa February 2020.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad