Mwanamuziki JAY Z Aishitaki Kampuni Moja Kwa Kutumia Mistari yake

Jay-Z ameripotiwa kuifungulia mashtaka kampuni moja ya nchini Australia ambayo imetumia kazi yake pasina idhini yake.

Jana Jumatano (Nov. 27) BBC News waliripoti kwamba Hov amefunguka shauri hilo dhidi ya kampuni hiyo kwa kuandika mistari ya wimbo wake "99 Problems" kwenye chapisho la Kitabu chao cha watoto kiitwacho AB to Jay-Z, wameandika;
-
"If you're having alphabet problems I feel bad for you son, I got 99 Problems but my ABC's ain't one!" ilisomeka description ya Kitabu hicho ambacho kimeandikwa maalum kuwajenga watoto kuzifahamu alphabet.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad