JPM "Natamani MUDA wa Kustaafu Ufike Niwe Kijana Kama Kikwete"


.
"Nimefarijika sana kuwaona Wazee wangu wote waliofanya kazi mbalimbali katika Taifa hili wakiwa wenye nguvu na katika wenye nguvu mzee Jakaya Kikwete anaonekana ni kijana kuliko mimi japokuwa yeye ananizidi umri natamani muda wangu wa kustaafu ufike mapema na mimi niwe kijana kama alivyo Kikwete" Rais Dkt John Magufuli .
.
Uzinduzi wa kitabu cha maisha ya Rais Mstaafu Benjamin Mkapa. "My Life my Purpose" .
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad