Kesi ya Zitto Kabwe yapigwa Kalenda


Kesi ya 'Uchochezi' (Kesi ya Jinai Na. 327 ya Mwaka 2018) inayomkabili Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo na Mbunge wa Kigoma Mjini,  Zitto Kabwe katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam imeahirishwa hadi tarehe 3, Disemba 2019.



Kesi hiyo imehairishwa baada ya shahidi wa upande wa Jamhuri kutokuwepo Mahakamani kwa udhuru wa kuumwa.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad