KIMENUKA..DR Bashiru Ayaonya Mashirika ya Kimataifa Kuhusu Kuingilia Mambo ya Ndani ya Tanzania


Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally ametoa kauli hiyo leo Novemba 28, 2019 wakati akizungumza na Wajumbe wa chama hicho katika Mkoa wa Magharibi Mjini Unguja, Zanzibar

Katibu huyo aliye katika ziara Visiwani humo amesema uwepo wa Taasisi za Kimataifa nchini isiwe sababu ya kuingilia mambo ya ndani ya nchi yasiyowahusu

Aidha, amesema ni marufuku ofisi yoyote ya Chama Cha Mapinduzi kufanya kazi na Taasisi za Kimataifa zisizokuwa na uhusiano na chama hicho

Pia, amewatahadharisha Mawaziri na Watendaji wa chama hicho Tawala Tanzania watakaobainika kushirikiana na Taasisi za Kimataifa kwamba watapoteza kazi
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad