KIMENUKA..Kocha wa Simba Aussems Athibitisha Kusimamishwa kazi


Siku kadhaa baada ya kubainika kuwa kocha mkuu wa Simba SC, Patrick Aussems amesimamishwa kazi na bodi ya wakurugenzi kutokana na kusafiri bila nje Tanzania kwa siku mbili bila ruhusa ya mabosi zake.

Leo Aussems ametangaza kuwa ni kweli bodi ya wakurugenzi ya club hiyo imemsimamisha kazi “Kabla ya yote ningependa kuwashukuru wote kwa jumbe zenu kunisapoti kwa sasa siwezi kufanya kazi yangu bodi imenisimamisha”

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad