Kocha Maurcio Pochettino awaachia ujumbe wachezaji wa Tottenham


Wakati kocha Maurcio Pochettino na benchi lake la ufundi wanafukuzwa katika klabu ya Tottenham Hotspur Jumanne Novemba 19, wachezaji walikuwa katika majukumu ya timu za Taifa.

Hivyo kocha huyo na benchi lake wakaacha ujumbe wakuwaaga ili wachezaji hao wakirudi waukute.

“Ahsante kubwa kwenu nyote ! Hatuwezi kusema kwa heri....Siku zote mtakuwa katika mioyo yetu” ulieleza ujumbe huo.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad