Lori la mafuta laacha njia na kugonga Wafanyabiashara


Imeripotiwa Mwanamke mmoja ambae ni Mfanyabiashara eneo la Mlimani City ameripotiwa kufariki huku wengine 6 wakijeruhiwa baada ya Lori la mafuta kuacha njia na kuwagonga, Inaelezwa Dereva alikua akikwepa waliokua wakivuka kwa miguu, Ripoti zaidi kukujia.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad