Masanja Mkandamizaji Amuombea Msamaha Idriss Sultan Kwa Paul Makonda


Masanja Mkandamizaji Amuombea Msamaha Idriss Sultan Kwa Paul Makonda

"KWA MTAZAMO WANGU!!
MKUU WA MKOA NA IDRISA KILA MMOJA KATIMIZA MAJUKUMU YAKE!!

Uzuri wake UJUMBE wa Idrisa umefika kama alivyokusudia yeye mwenyewe, na UJUMBE wa mkuu wa mkoa umefika kama alivyokusudia!!

NANI KAFAIDI HAPA??
Ni sisi wengine wote tuliojifunza kutokana na tukio hili, ya kwamba ni lazima Pamoja na mambo mengine kuwe na mipaka ktk kufanya sanaa yetu!!

OMBI LANGU KWA MKUU WA MKOA NA JESHI LA POLISI!!
Ninamuombea msamaha ndugu yangu Idrisa, sisi ni Vijana wenu ambao wakati mwingine tunakosea kwa bahati mbaya japo nia yenyewe inakuwa njema kabisa!
Tumejifunza na haitajirudia tena!!
Ninawaaminia viongozi wetu mtasamehe na maisha yataendelea.

MUNGU IBARIKI TANZANIA,
MUNGU MBARIKI RAIS WETU NA VIONGOZI WOTE, MUNGU UBARIKI MKOA  WA DAR ES SALAAM, ASANTENI KWA KUSOMA." Masanja

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad