Mashabiki Wafurahia Zahera Kufukuzwa – “Kocha Gani Hataki Ushauri”


Uongozi wa Yanga Novemba 05, 2019 umetangaza kumfuta kazi kocha wa timu hiyo Mwinyi Zahera na benchi zima la ufundi.

Hatua hiyo inatokea siku chache baada ya Yanga kutolewa katika michuano wa CAF Confederation Cup kwa kipigo cha jumla ya magoli 5 -1 kwa mechi ya nyumbani na ugenini dhidi ya Pyramids FC ya Misri.

Yanga inarudi kuanza viporo vya ligi ya VPL ikiwa nafasi ya 18 na pointi 7 kibindoni.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad