Mbwana Samatta aweka rekodi Anfield

Mbwana Samatta amekuwa ni Mtanzania wa kwanza kufunga goli katika uwanja wa Anfield katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Katika mchezo huo klabu ya Samatta, KRC Genk ilipoteza kwa goli 2-1 dhidi ya Liverpool katika mchezo huo wa marejeano.

Samatta aliisawazishia timu yake kunako dk 40' baada ya Liverpool kutangulia dk 14' kupitia Wijnaldum, kabla ya Chamberlain kuwafungia goli la ushindi dk ya 53'.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad