'...Sikuwa na jeraha nilipomaliza mechi dhidi ya Lesotho,nilianza kupata maumivu,niliporudi hotelini tulipoweka kambi,Maumivu yaliongezeka,nilipofika mazoezoni na kusambaa mguu wote,familia yangu ilinipeleka kwa mganga wa kienyeji ambaye aliniambia kuwa nilikanyaga dawa iliyotegwa kwa ajili yangu eneo la hotelini...'
Mohamed Buya anaichezea klabu Bingwa ya Sweden Djurgaden IF kwa mkopo akitokea Sint Truden ya ligi kuu ya Ubelgiji.