Unaambiwa Soksi za Mwimbaji Michael Jackson Zinapigwa Mnada Kwa Bilion 2 za Kitanzania

Unataka kuwa sehemu ya historia kwa kuvaa Soksi za Michael Jackson?

Sasa taarifa ikufikie kwamba Soksi alizovaa marehemu mfalme wa Pop Michael Jackson kwenye show yake ya "Billie Jean" mwaka 1983 zinapigwa mnada na kampuni moja ambapo utazipata kwa ($1M) sawa na bilioni 2 za Kitanzania.

MJ alizivaa Soksi hizo kwa mara ya kwanza na ndio siku ambayo alii-perfom staili yake ya kucheza "MoonWalk" kwa mara ya kwanza.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad