Mkuu wa MKOA Paul Makonda Afunguka Haya Kwa Waziri MKUU Kuhusu Tamasha la FIESTA Litakalo Fanyika Uwanja wa Uhuru

Mkuu wa Mkoa wa DSM Mhe. Paul Makonda amemualika Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa kuhudhuria kilele cha tamasha la Fiesta litakalo fanyika Disemba 8 mwaka huu katika uwanja wa Uhuru.

Amesema
“Dar Es Salaam ni Mkoa wa Burudani, Mh. Waziri Mkuu baada ya stress za kazi Makao Makuu ya Nchi Dodoma tunakukaribisha uje Kula Bata kidogo Dar Es Salaam. Nichukue fursa hii kwa niaba ya Clouds Media na Fiesta kukukaribisha kwenye Fiesta December 08 pale Uwanja wa Uhuru DSM ili uje kuona Burudani zinazotolewa na hawa Vijana ambazo utazimiss ukirudi Dodoma”- RC Makonda amezungumza hayo kwenye Kongamano la Sanaa la Mwalimu Nyerere leo JNICC.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad