Mkwasa na Msaidizi Wake Wwanza Rasmi kazi Yanga


Kocha Charles Boniface Mkwasa na msaidizi wake Said Maulid wameanza rasmi kuifua timu ya Yanga, wakijiandaa na mchezo wa  Ligi Kuu dhidi ya Ndanda utakaochezwa kesho katika dimba la Nangwanda Sijaona.

Mkwasa amechukua nafasi ya Mwinyi Zahera ambaye siku moja iliyopita alifurushwa kazi, huku uongozi wa Yanga pia ukilivunja bechi nzima la ufundi.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad