Msiwalaumu Wadada wa Mjini Kutembea na Wazee

Nimepanda lift kwenye moja ya jengo maarufu na refu hapa mjinikati karibu na Ohio st. Niko ndani ya lift mzee mmoja smart anongea na simu kwa sauti ya maringo , upole na yenye kujiamini, kulikua kimya hivyo unasikia kabisa upande wa pili ni sauti ya kasichana mazungumzo yalikua hivi.

Mzee - What do you mean..I've told you before not to worry it is within my capability usichukue gari ya chini, chagua landcruiser au yoyote ya juu.

Mdada.- '............. .... ....... ..... ........ ........ .... ............

Mzee. - Ok no problem, njoo sasa hivi uchukue cheque kwa ajili ya kuwalipa NSSF niliongea na mkurugenzi wake akanipromse a nice location for your appartment.

Anyway we njoo ukifika go to reception I have already reserve a place, just wait me in the room nina kikao na waziri nikimaliza nakuja. 

Niliwai kufika nikatoka liftini nikamuacha bado anaongea.

Kwa kweli niliona hamna sababu ya kuwasema wadada wanaotembea na wazee this dudes knows how to care jamani......

Vijana Siku hizi Hawajui Kuhonga zaidi ya Kuchafuana tu hata hela ya kununua sababu ni kujisafishia hupati
Tags

Post a Comment

22 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni ujinga tuu...

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kweli ILA umpate hyo mtumzima wahivyo mbona hutataka tena boro cheza.kuchafuliwa bure.huhuuuuuu wap vboro cheza a.k.a wanaume suruali watatukanajee

      Delete
  2. Mnapenda vya bure...hapo huyo mzee angetaka kukutomba na wewe ungejirahisi tu kisa umesikia apartment na landcruise...duh. someni wanawake mjitegemee, msisubiri kutumia uke kama kitega uchumi. Hujui huyo mzee hizo pesa anazomwaga anazitoa wapi...matokeo yake unatokwa na mimate tu...
    Ni haki wanawake wengi wawe na ukimwi kwa kuwa wengi wenu mnatamani msivyovifanyia kazi na kuudhalilisha uanamke

    ReplyDelete
    Replies
    1. Walaaniwe woote wanaouza nyago wa mipedeshee kisa ela,, za mcm izo, ooohooo...jasho lako ni jasho lako bhana, tena unaenjoy mbaya.

      Delete
  3. Mnapenda vya bure...hapo huyo mzee angetaka kukutomba na wewe ungejirahisi tu kisa umesikia apartment na landcruise...duh. someni wanawake mjitegemee, msisubiri kutumia uke kama kitega uchumi. Hujui huyo mzee hizo pesa anazomwaga anazitoa wapi...matokeo yake unatokwa na mimate tu...
    Ni haki wanawake wengi wawe na ukimwi kwa kuwa wengi wenu mnatamani msivyovifanyia kazi na kuudhalilisha uanamke

    ReplyDelete
  4. Wanawake tulitume kufanya kazi kwa bidii na kupata kilicho halali YETU kwa hashish letu. Tunapenda mno vya bure

    ReplyDelete
  5. masikn weeee hapo mate yamekutokaaa.hakuna asiejua kuwa nyie wanawake mmevamiwa na pepo la ukahaba

    ReplyDelete
  6. masikn weeee hapo mate yamekutokaaa.hakuna asiejua kuwa nyie wanawake mmevamiwa na pepo la ukahaba

    ReplyDelete
  7. wanaume mnapenda kuwa mamang'aa tu. kutunza hamuwezi mnataka kula mzigo bure, haihuu! wanaojua kuhonga na kutunza acheni wajilie vinono

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ukishazaliwa na hulka ya umalaya hauwezi kuacha. Mkiitwa malaya mnadai mnadhalilishwa. Je wewe unayeshabikia kununuliwa gari usilokuwa na uwezo wa hata kulilisha zaidi unategemea kuma yako tukuiteje? Wale wanawake wanaojituma wenyewe hamuwaoni mnadhani wote wanajiuza?

      Delete
  8. wanaume suruali tupa kuleee!

    ReplyDelete
  9. Utapata ukimwi halafu useme umerogwa kuma we.

    ReplyDelete
  10. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  11. hata wanaojituma wanahongwa sana tu na wapenzi wao, sio mijitu mingine mibahili! kazi kutaka k za bure tu, haujui hata chupi ya demu wako inauzwaje? kweli utajiita mwanaume! wanaume tubadilike, tuwajali wapenzi wetu sio kila siku kulalamika tunaibiwa

    ReplyDelete
  12. Anony wa 7:21 na 7:40 mmecomment kama mlikuwa mnatiwa vidole mkunduni!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Vip wamekugusa ndipo nini?!

      Delete
  13. Watakuja wakutombee mavi ndio vya kuandika hvyo

    ReplyDelete
  14. umeguswa wewe kudadadeki! mpenda uchi wa bure Kutwa kut...., videmu vinuka mikojo,

    ReplyDelete
  15. wanaume mtaishiwa kugongewa mademu zenuu na mkaishia kusema simuamini mwanamke yoyote kumbe sababu ni wewe hata biblia imeandikwa mwanaume atakuala kwa jasho lake na mwanamke atazaa kwa uchungu lakini siku hizi vyote anafanya mwanamke. Mwanamke huyohuyo anakula kwa jasho lake pia nazaa kwa uchungu kweli jamani. WANAUME KUWENI NA HURUMA NA WENZENU KAA

    ReplyDelete
  16. Mi namdhaau mwanamke anaeacha kujishugulisha na kusubiri kuhongwa.hela ukiitafuta mwenyewe ndo tamu dada zangu,sasa we heal ya mtu mara uwaze au anataka kunitoa kafara?au anaukimwi?ya nini yote hayo?

    ReplyDelete
  17. Hao wazee magufuli ndio anawatafuta tena sasa ivi akijuwa kuwa huyo mzee ni jipu anakufunga na kutaifisha mali zake zote. Lzm. Wadada wapenda vya bure mtanyooka mtatiwa ata kwa buku 5 uko tunakoelekea. chezea uncle magu

    ReplyDelete
  18. This is just a story, matusi hayasaidii chochote. Watanzania baada kutoa ushauri tunatukana shame on us

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad