Web

Mtoto Yupo Mahututi Baada ya Baba Kumtumia Kujikinga Asipatwe na Rasasi


PHILADELPHIA, MAREKANI
Yaseem Munir mwenye miezi 11, amelazwa hospitali katika chumba cha Magonjwa Mahututi baada ya kupatwa na risasi 4 kwenye mapambano ya silaha yaliyozuka yakihusisha wauzaji wa dawa za kulevya
-
Inaelezwa kuwa, mtoto huyo alikuwa kwenye gari na baba yake mzazi (Nafes Monroe) na mapigano hayo yalipoanza baba alimtumia mtoto huyu kama Ngao yake ili yeye asipatwe na risasi
-
Mtoto huyo amejeruhiwa vibaya ikiwemo kichwani. Madaktari wanasema hali ya mtoto ni mbaya kutokana na kucheleweshwa kupata matibabu baada ya baba huyu kutompeleka mtoto hospitali mapema
-
Nafes Monroe pamoja na mtu mwingine mmoja wanashikiliwa na Polisi wakihusishwa na shambulio hilo pamoja na biashara ya #DawaZaKulevya
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad